discourse/plugins/discourse-narrative-bot/config/locales/server.sw.yml
2024-12-18 15:19:37 +01:00

326 lines
16 KiB
YAML

# WARNING: Never edit this file.
# It will be overwritten when translations are pulled from Crowdin.
#
# To work with us on translations, join this project:
# https://translate.discourse.org/
sw:
site_settings:
discourse_narrative_bot_enabled: "Ruhusu roboti wa maelezo ya Discourse (discobot)"
disable_discourse_narrative_bot_welcome_post: "Sitisha Roboti wa Discourse kukaribisha watu na taarifa"
discourse_narrative_bot_ignored_usernames: "Majina ya watumiaji ambayo Roboti wa Discourse aya dharau"
discourse_narrative_bot_disable_public_replies: "Sitisha majibu ya umma ya roboti wa Discourse"
discourse_narrative_bot_welcome_post_type: "Aina ya ujumbe wa kukaribisha watu, roboti wa Discourse atatuma"
discourse_narrative_bot_welcome_post_delay: "Subiria sekunde (n) kabla ya kutuma ujumbe wa ukaribisho kutoka kwa Roboti wa Discourse."
badges:
certified:
name: Imethibitishwa
description: "Amepitia taarifa za utambulisho"
long_description: |
Utapata hii beji ukimaliza kuapitia taarifa za utambulisho. Umechukua mda kupitia taarifa za awali za majadiliano kwenye mtandao huu, na umethibitishwa kuwa mjuzi
licensed:
name: Imesajiliwa
description: "Umemaliza mafunzo yetu ya kiwango cha juu"
long_description: |
Hii beji inapewa kwa mtu aliyemaliza kupitia mafunzo yetu ya juu. Umepata mafunzo hayo ya juu kuhusu majadiliano - na sasa umethibitishwa!
discourse_narrative_bot:
timeout:
message: |-
Habari @%{username}, nakujulia hali kwa sababu sijakuona nina mda
- Kuendelea, nijibu mda wowote.
- Ukipenda kuruka hii hatua, sema `%{skip_trigger}`.
- Kuanza upya, sema '%{reset_trigger}`.
Kama unaona hakuna umuhimu, ni sawa tu. Mimi ni roboti. Hautaumiza hisia zangu. :sob:
dice:
trigger: "zungusha"
results: |-
> :game_die: %{results}
quote:
trigger: "nukulu"
"1":
quote: "Katikati ya kila ugumu kuna fursa"
author: "Albert Einstein"
"2":
quote: "Hakuna umuhimu wa kuwa na uhuru kama hakuna uhuru wa kufanya makosa."
author: "Mahatma Gandhi"
"3":
quote: "Usilie sababu imeisha, tabasamu kwa sababu ilitokea."
author: "Dr Seuss"
"4":
quote: "Ukitaka kitu kifanyike vizuri, fanya mwenyewe."
author: "Charles-Guillaume Étienne"
"5":
quote: "Amini kuwa unaweza na utakuwa umemaliza nusu ya safari."
author: "Theodore Roosevelt"
"6":
quote: "Maisha ni kama sanduku la chocolate. Hauwezi kujua utapata nini."
author: "Mama yake na Forrest Gump"
"7":
quote: "Hiyo ni hatua moja kwa mtu, hatua kubwa kwa binadamu."
author: "Neil Armstrong"
"8":
quote: "Kila siku fanya kitu ninachokutisha."
author: "Eleanor Roosevelt"
"9":
quote: "Makosa yanasemehewa, kama mtendaji yuko tayari kukiri."
author: "Bruce Lee"
"10":
quote: "Chochote ambacho akili ya binadamu inaweza kufikiria na kuamini, inaweza kukifanya."
author: "Napoleon Hill"
results: |-
> :left_speech_bubble: _%{quote}_ — %{author}
magic_8_ball:
trigger: "Mali au Bahati"
answers:
"1": "Inawezekana"
"2": "Imeamuliwa kuwa hivyo"
"3": "Hakuna shaka"
"4": "Kweli kabisa"
"5": "Unaweza ukaiamini"
"6": "Kana ninavyoiona, ndio"
"7": "Inawezekana kuwa hivyo"
"8": "Outlook iko vizuri"
"9": "Ndio"
"10": "Ishara inaonekana kuwa ndio"
"12": "Tafadhali, uliza tena baadae"
"13": "Afadhali kutokukwambia kwa sasa"
"14": "Haiwezi ikabashiri sasa hivi"
"15": "Kuwa makini na uliza tena"
"16": "Usiwe na hakika nacho"
"17": "Jibu langu ni hapana"
"18": "Ufuo wangu umesema hapana"
"19": "Outlook haiko vizuri"
"20": "Uhakika Kidogo Sana"
result: |-
> :crystal_ball: %{result}
track_selector:
reset_trigger: "mwanzo"
skip_trigger: "ruka"
help_trigger: "onyesha msaada"
random_mention:
reply: |-
Habari! kujua ninachoweza kufanya andika `@%{discobot_username}%{help_trigger}`.
do_not_understand:
first_response: |-
Habari, asante kwa jibu lako!
Kwa bahati mbaya, mimi kama roboti sijatengenezwa vizuri sana, nimeshindwa kuelewa ulichokiandika. :frowning:
track_response: Unaweza kujaribu tena, au kama ungependa kuruka hatua hii, andika `%{skip_trigger}`. Kuanza upya, andika `%{reset_trigger}`.
second_response: |-
Oh, jamani. Bado Nashindwa kukuelewa. :anguished:
Mimi ni roboti tu, kama hautajali unaweza kuwasiliana na binadamu, tembelea [ukurasa wa mawasiliano](%{base_path}/kuhusu)
Kwa sasa, nitakaa pembeni.
new_user_narrative:
cert_title: "Utambulisho wa kumaliza mafunzo ya mtumiaji mpya"
hello:
title: "Habari!"
onebox:
reply: |-
Vizuri! Hii itafaa kwa <img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-link.png" width="16" height="16"> viungo. Kumbuka, inabidi kiwe kwenye mstari mmoja _yenyewe_, bila maneno yoyote mbele, au nyuma yake.
not_found: |-
Samahani, Sijaona kiungo kwenye jibu lako! :cry:
Unaweza kuongeza kiungo, kwenye mstari wake pekee, kwenye jibu lako lipya?
<https://en.wikipedia.org/wiki/Exotic_Shorthair>
images:
instructions: |-
Hii ni picha ya farasi:
<img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/unicorn.png" width="520" height="520">
Kama unaipenda (kwa nini usiipende!) bonyeza kitufe cha :moyo chini ya taarifa na nijulishe.
Je unaweza **kunijibu na picha?** Picha yoyote tu itafaa! Unaweza kuiweka, kuipakia au kuinakili na kuibandika hapa.
reply: |-
Picha nzuri -- Nimebonyeza kitufe cha :moyo: kuonyesha shukrani yangu kwako :heart_eyes_:
like_not_found: |-
Je ulisahau kuipenda :heart: [taarifa] yangu?(%{url}) :crying_cate_face:
likes:
not_found: |-
Je ulisahau kuipenda :heart: [taarifa] yangu?(%{url}) :crying_cate_face:
formatting:
instructions: |-
Unaweza **kukoza** au _italiki_kwenye jibu lako?
- andika `**koza**` au `_italiki_`
-au, bonyeza vitufe vya <kbd><b>B</b></kbd> au <kbd><i>I</i></kbd> kwenye sehemu ya kuandika
reply: |-
Kazi nzuri! HTML na BBCode zinaumbiza - kujifunza zaidi, [jaribu fundisho hili] (https://commonmark.org/help) :nerd:
not_found: |-
Sijaona mtindo kwenye jibu lako. :pencil2:
Unaweza ukajaribu tena? Bofya vitufe <kbd><b>B</b></kbd> koza au <kbd><i>I</i></kbd> italiki kwenye sehemu ya marekebisho kama ukikwama.
quoting:
instructions: |-
Unaweza kuninukulu mimi ukiwa unajibu, ili niweze kujusa sehemu gani unaijibu?
> Kama hii ni kahawa, naomba uniletee chai; kama hii ni chai, naomba uniletee kahawa.
> Faida moja ya kuongea mwenyewe, ni kuwa kuna mtu mmoja anakusikiliza.
>
> Kuna watu ambao wako vizuri na maneno, na kuna watu...oh, uh, sio kivile.
Chagua maneno yoyote &uarr; nukulu unayopendelea, na bonyeza kitufe cha **Nukulu** kitakacho tokea - au kifute cha **Jibu** chini kabisa ya hizi taariga.
Chini ya nukulu, andika neno moja au mawili kwa nini umechagua nukulu hiyo, kwa sababu ningependa kujua :thinking:
reply: |-
Umefanya vizuri, umechagua nukulu ninayoipenda pia! :left_speech_bubble:
not_found: |-
Inaonekana haukunikulu mimi kwenye jibu lako?
Chagua neno lotote kwenye taarifa yangu italeta kitufe cha<kbd>**Nukulu**</kbd>. Na ukibonyeza **Jibu** na maneno yoyote uliyoyachagua, itakubali pia! Unaweza kujaibu tena?
bookmark:
instructions: |-
Kama ukipenda kujifunza zaidi, chagua <img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-ellipsis.png" width="16" height="16">chini na <img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-bookmark.png" width="16" height="16"> **alamisha ujumbe huu binafsi**. Ukifanya hivyo, unaweza kupata :gift: baadae!
not_found: |-
Nimeshindwa kuona mialamisho ya mada hii. Umeona alamisho yoyote kwenye kila chapisho? Tumia onyesha zaidi <img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-ellipsis.png" width="16" height="16">kuona vitendo zaidi kama vinahitajika.
emoji:
instructions: |-
Utakuwa umeona picha ndogo nilizotumia kwenye majibu yangu :blue_car::dash: hizo zinaitwa [emoji] (https://en.wikipedia.org/wiki/Emoji). Je unaweza **kuongeza emoji** kwenye jibu lako? Yoyote kati ya hizi zitafanya kazi:
- Andika `:) ;) :D :P :O`
- Andika nukta mbili <kbd>:</kbd>alafu malizia jina la emoji `:tada:`
- Bofya kitufe cha emoji <img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-smile.png" width="16" height="16"> ndani ya sehemu ya kuhariri, au kwenye kibodi ya kifaa cha kiganjani.
reply: |-
Hiyo ni :sparkles: _emojitastic!_ :sparkles:
not_found: |-
Mmmh, nimeshindwa kuona Emoji yoyote kwenye jibu lako? Jamani! :sob:
Jaribu kuandika nukta mbili <kbd>:</kbd> kuchagua emojis, alafu andika herufi za kwanza unazotaka, kama `:bird:`
Au, bofya kitufe cha emoji <img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-smile.png" width="16" height="16"> kwenye sehemu ya kuhariri.
(Kama unatumia kifaa cha kiganjani, unaweza kuingiza Emoji kutoka kwenye kibodi yako, pia.)
mention:
instructions: |-
Kuna mida utapenda kupata ufikivu wa mtumiaji mwingine, hata kama ukiwa hauwajibu. Andika `@` alafu andika jina analotumia kuwataja.
Unaweza kutaja **`@%{discobot_username}`** kwenye jibu lako?
reply: |-
_Kuna mtu ametaja jina langu?_ :raised_hand: Nadhani umeniita! :wave: Haya, nimekuja! Asante kwa kunitaja. :ok_hand:
not_found: |-
Sioni jina langu popote :frowning: Unaweza ukajaribu kunitaja kama `@%{discobot_username}` tena?
(Ndio, jina langu ni _disco_, kama miziki ya miaka ya 1970. Ni[napenda kusherehekea!] (https://www.youtube.com/watch?v=B_wGI3_sGf8) :dancer:)
search:
reply: |-
Nina furaha kuwa umeiona :tada:
- Kwa utafiti wa ndani zaidi, nenda kwenye [utafiti wa karatasi yote](%{search_url}).
-Kufika sehemu yoyote kwenye majadiliano, jaribu kutumia mfululizo wa mada kulingana na mda uliopo mkono wa kulia (na chini, kwenye kifaa cha kiganjani).
-Kama una kibodi halisi :keyboard:, bonyeza <kbd>?</kbd>kuona njia za mkato za kibodi.
not_found: |-
Hmm...inaonekana kama kuna tatizo. Samahani Sana. Je ulikuwa unatafuta <img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-search.png" width="16" height="16"> kuhusiana na **capy&#8203;bara**?
certificate:
alt: "Shahada ya Mafanikio"
advanced_user_narrative:
cert_title: "Utambulisho wa kumaliza mafunzo ya mtumiaji mpya wa hali ya juu"
title: ":arrow_up: Vipengele vya mtumiaji wa hali ya juu"
edit:
bot_created_post_raw: "@%{discobot_username} ni, kwa kirefu, roboti mjanja ninayemjua :wink:"
instructions: |-
Kila mtu anafanya makosa. Ila usijali, unaweza ukarekebisha makosa yako kwa huriri!
Unaweza kuanza kwa **kuhariri** chapisho nililo kutengenezea?
not_found: |-
Inaonekana kuwa hauja hariri [chapisho](%{url}) nililokutengenezea. Unaweza kujaribu tena?
Tumia ikoni <img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-pencil.png" width="16" height="16"> kuonyesha sehemu ya kuhariri.
reply: |-
Kazi nzuri!
Uhariri unaofanyika baada ya dakika 5 utatokea kama uhariri kwa umma, na ikoni ya penseli ndogo itatokea juu upande wa kulia ikiwa na namba ya sahihisho.
delete:
instructions: |-
Kama ukitaka kuondoa chapisho ulilotengeneza, unaweza kulifuta.
**Futa** chapisho lolote juu kwa kutumia kitendo cha **kufuta** <img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-trash.png" width="16" height="16">. Usifute chapisho la kwanza!
not_found: |-
Sioni machapisho yaliyofichwa? Kumbuka<img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-ellipsis.png" width="16" height="16">onyesha zaidi kuonyesha<img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-trash.png" width="16" height="16">vilivyofutwa.
reply: |-
Whoa! :boom:
Kuendeleza majadiliano, ufutaji hautatokea hapo hapo, chapisho litaondolewa baada ya mda fulani.
recover:
deleted_post_raw: "Kwa nini @%{discobot_username} amefuta chapisho langu? :anguished:"
instructions: |-
Inaonekana kuwa nimefuta kimakosa chapisho langu jipya nililokutengenezea.
Unaweza kunisaidia na<img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-rotate-left.png" width="16" height="16"> **kulirudisha**?
not_found: |-
Je unapata tatizo? Kumbuka <img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-ellipsis.png" width="16" height="16">onyesha zaidi itaonyesha<img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-rotate-left.png" width="16" height="16">kurudisha.
category_hashtag:
reply: |-
Vizuri sana! Kumbuka hii inafanya kazi kwenye kategoria _na_lebo kama lebo zikiruhusiwa.
change_topic_notification_level:
not_found: |-
Inaonekana kuwa bado unaangalia :eyes: mada hii! Kama umeshindwa kuiona, kitufe cha kiwango cha kujulisha kinapatikana chini ya mada.
poll:
instructions: |-
Unajua unaweza kuongeza uchaguzi kwenye chapisho lolote? Jaribu kutumia gia <img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-gear.png" width="16" height="16"> kwenye uhariri ku **tengeneza uchaguzi**
not_found: |-
Whoops! Hakuna uchaguzi kwenye jibu lako.
Tumia gia <img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-gear.png" width="16" height="16">kwenye sehemu ya kuhariri, au nakili na kubandika uchaguzi huu kwenye jibu lako lijalo:
```neno
[uchaguzi]
* :cat:
* :dog:
[/uchaguzi]
```
reply: |-
Habari, uchaguzi mzuri! Nimefanya vipi kwenye kukufundisha?
[poll]
* :+1:
* :-1:
[/poll]
details:
instructions: |-
Kuna mda ungependa **kuficha taarifa** kwenye majibu yako:
- Ukiwa unaongelea kuhusu sehemu nzuri za filamu au kipindi cha Runinga ambazo zinaweza kuwaharibia watu na kutowafanya watake kuangalia.
- Chapisho lako likiwa linahitaji taarifa nyingi kuweza kuelewa.
[taarifa=Chagua moja kati ya hizi kuona jinsi inavyofanya kazi!]
1. Chagua gia <img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-gear.png" width="16" height="16"> kwenye uhariri.
2. Chagua "Ficha Taarifa".
3. Hariri taarifa za muhtasari na andika machapisho yako.
[/taarifa]
Unaweza kutumia gia <img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-gear.png" width="16" height="16">kwenye uhariri kuongeza sehemu ya taarifa kwenye jibu lako lijalo?
not_found: |-
Umeshindwa kutengeneza widget ya maelezo? Jaribu kuongeza yafuatayo kwenye jibu lako lifuatao:
```neno
[maelezo=Nichague kupata maelezo]
Maelezo yako yako hapa
[/maelezo]
```
reply: |-
Kazi nzuri - uwezo_wako_wa_kuona_vitu_kwa_undani ni mzuri sana!
end:
message: |-
Umepita kama _mtumiaji_wa_hali_ya_juu :bow:
%{certificate}
Nilikuwa na hivyo tu.
Kwa heri kwa sasa! Kama ukitaka kuongea na mimi tena, nitumie ujumbe mda wowote :sunglasses:
certificate:
alt: "Shahada ya Mafanikio ya Mtumiaji wa Juu"