poll_maximum_options:"Idadi ya juu ya machaguo yanayoruhusiwa katika uchaguzi."
poll_edit_window_mins:"Idadi ya dakika baada ya maandiko kuwekwa ambapo uchaguzi unaweza kuhaririwa."
poll_minimum_trust_level_to_create:"Chagua kiwango cha chini ya uaminifu mtumiaji anahitaji kutengeneza uchaguzi."
poll:
multiple_polls_without_name:"Kuna chaguzi kadhaa zenye majina sawa. Tumia dhana ya 'jina' ili kutambua chaguzi zako."
multiple_polls_with_same_name:"Kuna chaguzi kadhaa zenye majina sawa: %{name}. Tumia dhana ya 'jina' ilikutofautisha chaguzi zako."
default_poll_must_have_at_least_2_options:"Chaguzi lazima ziwe angalau na machaguo 2."
named_poll_must_have_at_least_2_options:"Chaguzi yenye jina %{name} lazima iwe na angalau machaguo 2."
default_poll_must_have_less_options:
one:"Chaguzi lazima uwe na chaguo chini ya 1."
other:"Uchaguzi lazima uwe na chaguo chini ya %{count}."
named_poll_must_have_less_options:
one:"Uchaguzi wenye jina %{name} lazima uwe na chaguo chini ya 1."
other:"Uchaguzi wenye jina %{name} lazima uwe na machaguo chini ya %{count}."
default_poll_must_have_different_options:"Uchaguzi lazima uwe na machaguo tofauti."
named_poll_must_have_different_options:"Uchaguzi wenye jina %{name} lazima uwe na machaguo tofauti."
default_poll_with_multiple_choices_has_invalid_parameters:"Uchaguzi wenye machaguo mengi una vigezo ambavyo si sahihi."
named_poll_with_multiple_choices_has_invalid_parameters:"Uchaguzi wenye jina %{name}, ambao una machaguo mengi, una vigezo ambavyo si sahihi."
op_cannot_edit_options:"Huwezi ukaongeza au kupunguza machaguo ya uchaguzi baada ya dakika %{minutes} za kwanza. Tafadhali wasiliana na msimamizi wa jukwaa kama utahitaji kuhariri chaguo la uchaguzi."
staff_cannot_add_or_remove_options:"Huwezi kuongeza au kupunguza machaguo ya uchaguzi baada ya dakika %{minutes}za mwanzo. Unapaswa kufunga mada hii na kuanzisha mada mpya badala yake."
no_polls_associated_with_this_post:"Hakuna chaguzi zinazohusiana na bandiko hili."
no_poll_with_this_name:"Hakuna uchaguzi wenye jina %{name} unaohusiana na bandiko hili."
post_is_deleted:"Huwezi kufanyia kazi bandiko lililofutwa."
user_cant_post_in_topic:"Huwezi kupiga kura kwa sababu hauwezi kuchangia kwenye hii mada."
topic_must_be_open_to_vote:"Mada inatakiwa iwe wazi, ili kupiga kura."
poll_must_be_open_to_vote:"Uchaguzi lazima uwe wazi ili kupiga kura."
topic_must_be_open_to_toggle_status:"Mada inatakiwa iwe wazi ili kubadilisha hali."
only_staff_or_op_can_toggle_status:"Ni msaidizi au mwandishi wa bandiko tu, ndo wanaoweza kubadilisha hali ya uchaguzi."