mirror of
https://github.com/discourse/discourse.git
synced 2024-11-22 15:06:26 +08:00
Add Swahili language
This commit is contained in:
parent
59e72b466a
commit
d3e04daa95
3
app/assets/javascripts/locales/sw.js.erb
Normal file
3
app/assets/javascripts/locales/sw.js.erb
Normal file
|
@ -0,0 +1,3 @@
|
|||
//= depend_on 'client.sw.yml'
|
||||
//= require locales/i18n
|
||||
<%= JsLocaleHelper.output_locale(:sw) %>
|
3365
config/locales/client.sw.yml
Normal file
3365
config/locales/client.sw.yml
Normal file
File diff suppressed because it is too large
Load Diff
2427
config/locales/server.sw.yml
Normal file
2427
config/locales/server.sw.yml
Normal file
File diff suppressed because it is too large
Load Diff
14
plugins/discourse-details/config/locales/client.sw.yml
Normal file
14
plugins/discourse-details/config/locales/client.sw.yml
Normal file
|
@ -0,0 +1,14 @@
|
|||
# encoding: utf-8
|
||||
#
|
||||
# Never edit this file. It will be overwritten when translations are pulled from Transifex.
|
||||
#
|
||||
# To work with us on translations, join this project:
|
||||
# https://www.transifex.com/projects/p/discourse-org/
|
||||
|
||||
sw:
|
||||
js:
|
||||
details:
|
||||
title: Ficha Maelezo
|
||||
composer:
|
||||
details_title: Muhtasari
|
||||
details_text: "Haya maandiko yatafichwa"
|
8
plugins/discourse-details/config/locales/server.sw.yml
Normal file
8
plugins/discourse-details/config/locales/server.sw.yml
Normal file
|
@ -0,0 +1,8 @@
|
|||
# encoding: utf-8
|
||||
#
|
||||
# Never edit this file. It will be overwritten when translations are pulled from Transifex.
|
||||
#
|
||||
# To work with us on translations, join this project:
|
||||
# https://www.transifex.com/projects/p/discourse-org/
|
||||
|
||||
sw: {}
|
21
plugins/discourse-local-dates/config/locales/client.sw.yml
Normal file
21
plugins/discourse-local-dates/config/locales/client.sw.yml
Normal file
|
@ -0,0 +1,21 @@
|
|||
# encoding: utf-8
|
||||
#
|
||||
# Never edit this file. It will be overwritten when translations are pulled from Transifex.
|
||||
#
|
||||
# To work with us on translations, join this project:
|
||||
# https://www.transifex.com/projects/p/discourse-org/
|
||||
|
||||
sw:
|
||||
js:
|
||||
discourse_local_dates:
|
||||
title: Andika tarehe
|
||||
create:
|
||||
modal_title: Andika tarehe
|
||||
form:
|
||||
insert: Weka
|
||||
advanced_mode: Hali-tumizi ya juu
|
||||
timezones_title: Majira za saa za kuonyeshwa
|
||||
timezones_description: Majina ya saa yatatumika kuonyesha tarehe kwenye kihakiki na marejesho ya mfumo.
|
||||
recurring_title: Kurudiarudia
|
||||
recurring_none: Hakuna kurudia
|
||||
invalid_date: Tarehe batili, hakikisha tarehe na mda viko sawa
|
10
plugins/discourse-local-dates/config/locales/server.sw.yml
Normal file
10
plugins/discourse-local-dates/config/locales/server.sw.yml
Normal file
|
@ -0,0 +1,10 @@
|
|||
# encoding: utf-8
|
||||
#
|
||||
# Never edit this file. It will be overwritten when translations are pulled from Transifex.
|
||||
#
|
||||
# To work with us on translations, join this project:
|
||||
# https://www.transifex.com/projects/p/discourse-org/
|
||||
|
||||
sw:
|
||||
site_settings:
|
||||
discourse_local_dates_default_timezones: "Orodha ya chaguo-msingi ya majira ya saa, lazima yawe sahihi <a target='_blank' rel='noopener' href='https://en.wikipedia.org/wiki/List_of_tz_database_time_zones'>TZ</a>"
|
13
plugins/discourse-narrative-bot/config/locales/client.sw.yml
Normal file
13
plugins/discourse-narrative-bot/config/locales/client.sw.yml
Normal file
|
@ -0,0 +1,13 @@
|
|||
# encoding: utf-8
|
||||
#
|
||||
# Never edit this file. It will be overwritten when translations are pulled from Transifex.
|
||||
#
|
||||
# To work with us on translations, join this project:
|
||||
# https://www.transifex.com/projects/p/discourse-org/
|
||||
|
||||
sw:
|
||||
js:
|
||||
discourse_narrative_bot:
|
||||
welcome_post_type:
|
||||
new_user_track: "Anzisha somo jipya kwa ajili ya watumizi wapya"
|
||||
welcome_message: "Watumie watumiaji wapya ujumbe wa ukaribisho na mwongozo mfupi"
|
425
plugins/discourse-narrative-bot/config/locales/server.sw.yml
Normal file
425
plugins/discourse-narrative-bot/config/locales/server.sw.yml
Normal file
|
@ -0,0 +1,425 @@
|
|||
# encoding: utf-8
|
||||
#
|
||||
# Never edit this file. It will be overwritten when translations are pulled from Transifex.
|
||||
#
|
||||
# To work with us on translations, join this project:
|
||||
# https://www.transifex.com/projects/p/discourse-org/
|
||||
|
||||
sw:
|
||||
site_settings:
|
||||
discourse_narrative_bot_enabled: 'Ruhusu Maelezo ya Mashine ya Discourse '
|
||||
disable_discourse_narrative_bot_welcome_post: "Sitisha Roboti wa Discourse kukaribisha watu na taarifa"
|
||||
discourse_narrative_bot_ignored_usernames: "Majina ya watumiaji ambayo Roboti wa Discourse aya dharau"
|
||||
discourse_narrative_bot_disable_public_replies: "Sitisha majibu ya umma ya roboti wa Discourse"
|
||||
discourse_narrative_bot_welcome_post_type: "Aina ya ujumbe wa kukaribisha watu, roboti wa Discourse atatuma"
|
||||
discourse_narrative_bot_welcome_post_delay: "Subiria sekunde (n) kabla ya kutuma ujumbe wa ukaribisho kutoka kwa Roboti wa Discourse."
|
||||
badges:
|
||||
certified:
|
||||
name: Imethibitishwa
|
||||
description: "Amepitia taarifa za utambulisho"
|
||||
long_description: |
|
||||
Utapata hii beji ukimaliza kuapitia taarifa za utambulisho. Umechukua mda kupitia taarifa za awali za majadiliano kwenye mtandao huu, na umethibitishwa kuwa mjuzi
|
||||
licensed:
|
||||
name: Imesajiliwa
|
||||
description: "Umemaliza mafunzo yetu ya kiwango cha juu"
|
||||
long_description: |
|
||||
Hii beji inapewa kwa mtu aliyemaliza kupitia mafunzo yetu ya juu. Umepata mafunzo hayo ya juu kuhusu majadiliano - na sasa umethibitishwa!
|
||||
discourse_narrative_bot:
|
||||
bio: "Habari, mimi sio mtu bali ni roboti. Ningependa nikufundishe kuhusu hii tovuti. Kuwasiliana na mimi, nitumie ujumbe au nitaje **@%{discobot_username}** popote."
|
||||
timeout:
|
||||
message: |-
|
||||
Habari @%{username}, nakujulia hali kwa sababu sijakuona nina mda
|
||||
|
||||
- Kuendelea, nijibu mda wowote.
|
||||
|
||||
- Ukipenda kuruka hii hatua, sema `%{skip_trigger}`.
|
||||
|
||||
- Kuanza upya, sema '%{reset_trigger}`.
|
||||
|
||||
Kama unaona hakuna umuhimu, ni sawa tu. Mimi ni roboti. Hautaumiza hisia zangu. :sob:
|
||||
dice:
|
||||
trigger: "zungusha"
|
||||
not_enough_dice: |-
|
||||
Nina dadu %{num_of_dice}. [Aibu] (http://www.therobotsvoice.com/2009/04/the_10_most_shameful_rpg_dice.php), najua!
|
||||
results: |-
|
||||
> :game_die: %{results}
|
||||
quote:
|
||||
trigger: "nukulu"
|
||||
'1':
|
||||
quote: "Katikati ya kila ugumu kuna fursa"
|
||||
author: "Albert Einstein"
|
||||
'2':
|
||||
quote: "Hakuna umuhimu wa kuwa na uhuru kama hakuna uhuru wa kufanya makosa."
|
||||
author: "Mahatma Gandhi"
|
||||
'3':
|
||||
quote: "Usilie sababu imeisha, tabasamu kwa sababu ilitokea."
|
||||
author: "Dr Seuss"
|
||||
'4':
|
||||
quote: "Ukitaka kitu kifanyike vizuri, fanya mwenyewe."
|
||||
author: "Charles-Guillaume Étienne"
|
||||
'5':
|
||||
quote: "Amini kuwa unaweza na utakuwa umemaliza nusu ya safari."
|
||||
author: "Theodore Roosevelt"
|
||||
'6':
|
||||
quote: "Maisha ni kama sanduku la chocolate. Hauwezi kujua utapata nini."
|
||||
author: "Mama yake na Forrest Gump"
|
||||
'7':
|
||||
quote: "Hiyo ni hatua moja kwa mtu, hatua kubwa kwa binadamu."
|
||||
author: "Neil Armstrong"
|
||||
'8':
|
||||
quote: "Kila siku fanya kitu ninachokutisha."
|
||||
author: "Eleanor Roosevelt"
|
||||
'9':
|
||||
quote: "Makosa yanasemehewa, kama mtendaji yuko tayari kukiri."
|
||||
author: "Bruce Lee"
|
||||
'10':
|
||||
quote: "Chochote ambacho akili ya binadamu inaweza kufikiria na kuamini, inaweza kukifanya."
|
||||
author: "Napoleon Hill"
|
||||
results: |-
|
||||
> :left_speech_bubble: _%{quote}_ — %{author}
|
||||
magic_8_ball:
|
||||
trigger: 'Mali au Bahati'
|
||||
answers:
|
||||
'1': "Inawezekana"
|
||||
'2': "Imeamuliwa kuwa hivyo"
|
||||
'3': "Hakuna shaka"
|
||||
'4': "Kweli kabisa"
|
||||
'5': "Unaweza ukaiamini"
|
||||
'6': "Kana ninavyoiona, ndio"
|
||||
'7': "Inawezekana kuwa hivyo"
|
||||
'8': "Outlook iko vizuri"
|
||||
'9': "Ndio"
|
||||
'10': "Ishara inaonekana kuwa ndio"
|
||||
'11': "Jibu halipo vizuri jaribu tena"
|
||||
'12': "Tafadhali, uliza tena baadae"
|
||||
'13': "Afadhali kutokukwambia kwa sasa"
|
||||
'14': "Haiwezi ikabashiri sasa hivi"
|
||||
'15': "Kuwa makini na uliza tena"
|
||||
'16': "Usiwe na hakika nacho"
|
||||
'17': "Jibu langu ni hapana"
|
||||
'18': "Ufuo wangu umesema hapana"
|
||||
'19': "Outlook haiko vizuri"
|
||||
'20': "Uhakika Kidogo Sana"
|
||||
result: |-
|
||||
> :crystal_ball: %{result}
|
||||
track_selector:
|
||||
reset_trigger: 'mwanzo'
|
||||
skip_trigger: 'ruka'
|
||||
help_trigger: 'onyesha msaada'
|
||||
random_mention:
|
||||
reply: |-
|
||||
Habari! kujua ninachoweza kufanya andika `@%{discobot_username}%{help_trigger}`.
|
||||
tracks: |-
|
||||
Kwa sasa najua kufanya vitu vifuatavyo:
|
||||
|
||||
`@%{discobot_username}%{reset_trigger}%{default_track}`
|
||||
>Anzisha mazungumzo: %{tracks}
|
||||
bot_actions: |-
|
||||
`@%{discobot_username}%{dice_trigger} 2d6`
|
||||
> :game_die: 3 ,6
|
||||
|
||||
`@%{discobot_username}%{quote_trigger}`
|
||||
> :left_speech_bubble:_Fanya vitendo vya huruma na upendo, bila kutegemea tuzo, ukijua kuwa siku moja mtu atakufanyia hivyo pia_— Princess Diana
|
||||
|
||||
`@%{discobot_username}%{magic_8_ball_trigger}`
|
||||
>mpira_fuwele: Unaweza ukautegemea
|
||||
do_not_understand:
|
||||
first_response: |-
|
||||
Habari, asante kwa jibu lako!
|
||||
|
||||
Kwa bahati mbaya, mimi kama roboti sijatengenezwa vizuri sana, nimeshindwa kuelewa ulichokiandika. :frowning:
|
||||
track_response: Unaweza kujaribu tena, au kama ungependa kuruka hatua hii, andika `%{skip_trigger}`. Kuanza upya, andika `%{reset_trigger}`.
|
||||
second_response: |-
|
||||
Oh, jamani. Bado Nashindwa kukuelewa. :anguished:
|
||||
|
||||
Mimi ni roboti tu, kama hautajali unaweza kuwasiliana na binadamu, tembelea [ukurasa wa mawasiliano](/kuhusu)
|
||||
|
||||
Kwa sasa, nitakaa pembeni.
|
||||
new_user_narrative:
|
||||
reset_trigger: "mtumiaji mpya"
|
||||
cert_title: "Utambulisho wa kumaliza mafunzo ya mtumiaji mpya"
|
||||
hello:
|
||||
title: ":robot: Habari!"
|
||||
message: |-
|
||||
Asante kwa kujiunga na %{title}, na karibu!
|
||||
|
||||
- Mimi ni roboti, lakini [wasaidizi wetu](/kuhusu) nao wapo kwa ajili yako kama unahitaji kuongea na mtu/binadamu.
|
||||
|
||||
- Kwa ajili ya ulinzi na usalama, kuna vitu hautaweza kufanya kama mtumiaji mpya. Utapata uwezo (na [nembo](/nembo)) jinsi tutakavyozidi kukujua wewe.
|
||||
|
||||
- Tunaamini na kuheshimu [mwenendo mzuri wa kijamii](/miongozo) mda wote.
|
||||
onebox:
|
||||
instructions: |-
|
||||
Baada ya hapo, je unaweza kunipa hivi viungo na mimi? Jibu na **kila kiungo kwenye mstari wake**, na itaongezeka kuonyesha muhtasari kuhusiana na hicho kiungo.
|
||||
|
||||
Kunakili kiungo, bonyeza bila kuachia kwenye simu yako ya mkononi, au bonyeza upande wa kulia wa puku ya komputa yako:
|
||||
|
||||
- https://en.wikipedia.org/wiki/Inherently_funny_word
|
||||
- https://en.wikipedia.org/wiki/Death_by_coconut
|
||||
- https://en.wikipedia.org/wiki/Calculator_spelling
|
||||
reply: |-
|
||||
Vizuri! Hii itafaa kwa <img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-link.png" width="16" height="16"> viungo. Kumbuka, inabidi kiwe kwenye mstari mmoja _yenyewe_, bila maneno yoyote mbele, au nyuma yake.
|
||||
not_found: |-
|
||||
Samahani, Sijaona kiungo kwenye jibu lako! :cry:
|
||||
|
||||
Unaweza kuongeza kiungo, kwenye mstari wake pekee, kwenye jibu lako lipya?
|
||||
|
||||
<https://en.wikipedia.org/wiki/Exotic_Shorthair>
|
||||
images:
|
||||
instructions: |-
|
||||
Hii ni picha ya farasi:
|
||||
|
||||
<img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/unicorn.png" width="520" height="520">
|
||||
|
||||
Kama unaipenda (kwa nini usiipende!) bonyeza kitufe cha :moyo chini ya taarifa na nijulishe.
|
||||
|
||||
Je unaweza **kunijibu na picha?** Picha yoyote tu itafaa! Unaweza kuiweka, kuipakia au kuinakili na kuibandika hapa.
|
||||
reply: |-
|
||||
Picha nzuri -- Nimebonyeza kitufe cha :moyo: kuonyesha shukrani yangu kwako :heart_eyes_:
|
||||
like_not_found: |-
|
||||
Je ulisahau kuipenda :heart: [taarifa] yangu?(%{url}) :crying_cate_face:
|
||||
not_found: |-
|
||||
Inaonekana haujaweka picha kwa hiyo nimechagua picha_na uhakika_utaipenda.
|
||||
|
||||
`%{image_url}`
|
||||
|
||||
Jaribu kuweka ya kwako mwenyewe baada ya hii, au bandika kiungo kimoja kwenye mstari pekee!
|
||||
formatting:
|
||||
instructions: |-
|
||||
Unaweza **kukoza** au _italiki_kwenye jibu lako?
|
||||
|
||||
- andika `**koza**` au `_italiki_`
|
||||
|
||||
-au, bonyeza vitufe vya <kbd><b>B</b></kbd> au <kbd><i>I</i></kbd> kwenye sehemu ya kuandika
|
||||
reply: |-
|
||||
Kazi nzuri! HTML na BBCode zinaumbiza - kujifunza zaidi, [jaribu fundisho hili] (http://commonmark.org/help) :nerd:
|
||||
not_found: |-
|
||||
Sijaona mtindo kwenye jibu lako. :pencil2:
|
||||
|
||||
Unaweza ukajaribu tena? Bofya vitufe <kbd><b>B</b></kbd> koza au <kbd><i>I</i></kbd> italiki kwenye sehemu ya marekebisho kama ukikwama.
|
||||
quoting:
|
||||
instructions: |-
|
||||
Unaweza kuninukulu mimi ukiwa unajibu, ili niweze kujusa sehemu gani unaijibu?
|
||||
|
||||
> Kama hii ni kahawa, naomba uniletee chai; kama hii ni chai, naomba uniletee kahawa.
|
||||
|
||||
> Faida moja ya kuongea mwenyewe, ni kuwa kuna mtu mmoja anakusikiliza.
|
||||
>
|
||||
> Kuna watu ambao wako vizuri na maneno, na kuna watu...oh, uh, sio kivile.
|
||||
|
||||
Chagua maneno yoyote ↑ nukulu unayopendelea, na bonyeza kitufe cha **Nukulu** kitakacho tokea - au kifute cha **Jibu** chini kabisa ya hizi taariga.
|
||||
|
||||
|
||||
Chini ya nukulu, andika neno moja au mawili kwa nini umechagua nukulu hiyo, kwa sababu ningependa kujua :thinking:
|
||||
reply: |-
|
||||
Umefanya vizuri, umechagua nukulu ninayoipenda pia! :left_speech_bubble:
|
||||
not_found: |-
|
||||
Inaonekana haukunikulu mimi kwenye jibu lako?
|
||||
|
||||
Chagua neno lotote kwenye taarifa yangu italeta kitufe cha<kbd>**Nukulu**</kbd>. Na ukibonyeza **Jibu** na maneno yoyote uliyoyachagua, itakubali pia! Unaweza kujaibu tena?
|
||||
bookmark:
|
||||
instructions: |-
|
||||
Kama ukipenda kujifunza zaidi, chagua <img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-ellipsis.png" width="16" height="16">chini na <img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-bookmark.png" width="16" height="16"> **alamisha ujumbe huu binafsi**. Ukifanya hivyo, unaweza kupata :gift: baadae!
|
||||
reply: |-
|
||||
Vizuri! Sasa unaweza kurudi kwenye maongezi yetu binafsi mda wowote, kupitia [kichupo cha mialamisho kwenye umbo lako](%{profile_page_url}/activity/mialamisho). Chagua umbo lako iliyopo juu upande wa kulia ↗
|
||||
not_found: |-
|
||||
Nimeshindwa kuona mialamisho ya mada hii. Umeona alamisho yoyote kwenye kila chapisho? Tumia onyesha zaidi <img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-ellipsis.png" width="16" height="16">kuona vitendo zaidi kama vinahitajika.
|
||||
emoji:
|
||||
instructions: |-
|
||||
Utakuwa umeona picha ndogo nilizotumia kwenye majibu yangu :blue_car::dash: hizo zinaitwa [emoji] (https://en.wikipedia.org/wiki/Emoji). Je unaweza **kuongeza emoji** kwenye jibu lako? Yoyote kati ya hizi zitafanya kazi:
|
||||
|
||||
- Andika `:) ;) :D :P :O`
|
||||
|
||||
- Andika nukta mbili <kbd>:</kbd>alafu malizia jina la emoji `:tada:`
|
||||
|
||||
- Bofya kitufe cha emoji <img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-smile.png" width="16" height="16"> ndani ya sehemu ya kuhariri, au kwenye kibodi ya kifaa cha kiganjani.
|
||||
reply: |-
|
||||
Hiyo ni :sparkles: _emojitastic!_ :sparkles:
|
||||
not_found: |-
|
||||
Mmmh, nimeshindwa kuona Emoji yoyote kwenye jibu lako? Jamani! :sob:
|
||||
|
||||
Jaribu kuandika nukta mbili <kbd>:</kbd> kuchagua emojis, alafu andika herufi za kwanza unazotaka, kama `:bird:`
|
||||
|
||||
Au, bofya kitufe cha emoji <img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-smile.png" width="16" height="16"> kwenye sehemu ya kuhariri.
|
||||
|
||||
(Kama unatumia kifaa cha kiganjani, unaweza kuingiza Emoji kutoka kwenye kibodi yako, pia.)
|
||||
mention:
|
||||
instructions: |-
|
||||
Kuna mida utapenda kupata ufikivu wa mtumiaji mwingine, hata kama ukiwa hauwajibu. Andika `@` alafu andika jina analotumia kuwataja.
|
||||
|
||||
Unaweza kutaja **`@%{discobot_username}`** kwenye jibu lako?
|
||||
reply: |-
|
||||
_Kuna mtu ametaja jina langu?_ :raised_hand: Nadhani umeniita! :wave: Haya, nimekuja! Asante kwa kunitaja. :ok_hand:
|
||||
not_found: |-
|
||||
Sioni jina langu popote :frowning: Unaweza ukajaribu kunitaja kama `@%{discobot_username}` tena?
|
||||
|
||||
(Ndio, jina langu ni _disco_, kama miziki ya miaka ya 1970. Ni[napenda kusherehekea!] (https://www.youtube.com/watch?v=B_wGI3_sGf8) :dancer:)
|
||||
flag:
|
||||
instructions: |-
|
||||
Tunapenda majadiliano yetu yawe ya kirafiki, na tunahitaji msaada wako [kuhakikisha kuwa vitu vipo kistaarabu au kiungwana](%{guidelines_url}). Kama ukiona tatizo lolote, tafadhali bonyeza bendera pembeni ya hiyo taarifa kumtujulisha mwandishi, au [wasaidizi wetu](%{about_url}), kujua kuhusiana na hilo tatizo.
|
||||
|
||||
> :imp: Nimeandika kitu ambacho hakifai
|
||||
|
||||
Nadhani unajua chakufanya, **Bonyeza hiyo bendera**<img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-flag.png" width="16" height="16"> kuashiria kuwa kuna tatizo na ujumbe uliosoma!
|
||||
reply: |-
|
||||
[Wasaidizi](/vikundi/wasaidizi) watajulishwa kwa ujumbe binafsi kuhusiana na bendera. Kama watumiaji wengi wakibonyeza bendera. Itafichwa hapo hapo kama tahadhari. (Kwa vile mimi siandikagi taarifa mbaya au chafu :angel:, Nimeitoa bendera kwa sasa.)
|
||||
not_found: |-
|
||||
Jamani, taarifa yangu chafu nilioandika bado haijapewa bendera. :worried: Unaweza ukamjulisha mtu kuwa ni chafu kwa kutumia **flag**<img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-flag.png" width="16" height="16">? Usisahau kutumia kitufe za zaidi<img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-ellipsis.png" width="16" height="16">kuonyesha vitendo zaidi kwa ajili ya kila taarifa.
|
||||
search:
|
||||
instructions: |-
|
||||
_psst_ ...Nimeficha kitu kwenye hii mada. Kama unapenda kujua, **chagua ikoni ya utafiti** <img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-search.png" width="16" height="16"> upande wa juu mkono wako wa kulia ↗ kukitafuta hicho kitu
|
||||
|
||||
Jaribu kutafuta neno "capy​bara" kwenye hii mada
|
||||
hidden_message: |-
|
||||
Umepitwa vipi na capybara? :wink:
|
||||
|
||||
<img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/capybara-eating.gif"/>
|
||||
|
||||
Umegundua umerudi ulipoanza? Shibisha capybara mwenye njaa kwa **kuandika `:herb` ishara** na utapelekwa mwisho.
|
||||
reply: |-
|
||||
Nina furaha kuwa umeiona :tada:
|
||||
|
||||
- Kwa utafiti wa ndani zaidi, nenda kwenye [utafiti wa karatasi yote](%{search_url}).
|
||||
|
||||
-Kufika sehemu yoyote kwenye majadiliano, jaribu kutumia mfululizo wa mada kulingana na mda uliopo mkono wa kulia (na chini, kwenye kifaa cha kiganjani).
|
||||
|
||||
-Kama una kibodi halisi :keyboard:, bonyeza <kbd>?</kbd>kuona njia za mkato za kibodi.
|
||||
not_found: |-
|
||||
Hmm...inaonekana kama kuna tatizo. Samahani Sana. Je ulikuwa unatafuta <img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-search.png" width="16" height="16"> kuhusiana na **capy​bara**?
|
||||
end:
|
||||
message: |-
|
||||
Asante kwa kubaki na mimi @ %{username}! amekutengenezea hiki, Nadhani unastahili:
|
||||
|
||||
%{certificate}
|
||||
|
||||
Ni hilo tu kwa sasa! Tembelea [**mada za majadiliano zilizoongelewa hivi karibuni**](/karibuni) au [**vikundi vya majadiliano**](/majadiliano). : sunglasses:
|
||||
(Ukipenda kujifunza zaidi, nitumie ujumbe mfupi au andika `@%{discobot_username}` mda wowote!)
|
||||
certificate:
|
||||
alt: 'Shahada ya Mafanikio'
|
||||
advanced_user_narrative:
|
||||
reset_trigger: 'mtumiaji wa hali ya juu'
|
||||
cert_title: "Utambulisho wa kumaliza mafunzo ya mtumiaji mpya wa hali ya juu"
|
||||
title: ':arrow_up: Vipengele vya mtumiaji wa hali ya juu'
|
||||
start_message: |-
|
||||
Kama mtumiaji_wa_hali_ya_juu, umetembela [ukurasa wa mapendekezo](/my/mapendekezo) @%{username}? Kuna njia nyingi za kugeuza kukufaa, kama kuchagua mandhari nyeupe au nyeusi.
|
||||
|
||||
Anza kama upo tayari.
|
||||
edit:
|
||||
bot_created_post_raw: "@%{discobot_username} ni, kwa kirefu, roboti mjanja ninayemjua :wink:"
|
||||
instructions: |-
|
||||
Kila mtu anafanya makosa. Ila usijali, unaweza ukarekebisha makosa yako kwa huriri!
|
||||
|
||||
Unaweza kuanza kwa **kuhariri** chapisho nililo kutengenezea?
|
||||
not_found: |-
|
||||
Inaonekana kuwa hauja hariri [chapisho](%{url}) nililokutengenezea. Unaweza kujaribu tena?
|
||||
|
||||
Tumia ikoni <img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-pencil.png" width="16" height="16"> kuonyesha sehemu ya kuhariri.
|
||||
reply: |-
|
||||
Kazi nzuri!
|
||||
|
||||
Uhariri unaofanyika baada ya dakika 5 utatokea kama uhariri kwa umma, na ikoni ya penseli ndogo itatokea juu upande wa kulia ikiwa na namba ya sahihisho.
|
||||
delete:
|
||||
instructions: |-
|
||||
Kama ukitaka kuondoa chapisho ulilotengeneza, unaweza kulifuta.
|
||||
|
||||
**Futa** chapisho lolote juu kwa kutumia kitendo cha **kufuta** <img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-trash.png" width="16" height="16">. Usifute chapisho la kwanza!
|
||||
not_found: |-
|
||||
Sioni machapisho yaliyofichwa? Kumbuka<img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-ellipsis.png" width="16" height="16">onyesha zaidi kuonyesha<img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-trash.png" width="16" height="16">vilivyofutwa.
|
||||
reply: |-
|
||||
Whoa! :boom:
|
||||
|
||||
Kuendeleza majadiliano, ufutaji hautatokea hapo hapo, chapisho litaondolewa baada ya mda fulani.
|
||||
recover:
|
||||
deleted_post_raw: 'Kwa nini @%{discobot_username} amefuta chapisho langu? :anguished:'
|
||||
instructions: |-
|
||||
Inaonekana kuwa nimefuta kimakosa chapisho langu jipya nililokutengenezea.
|
||||
|
||||
Unaweza kunisaidia na<img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-rotate-left.png" width="16" height="16"> **kulirudisha**?
|
||||
not_found: |-
|
||||
Je unapata tatizo? Kumbuka <img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-ellipsis.png" width="16" height="16">onyesha zaidi itaonyesha<img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-rotate-left.png" width="16" height="16">kurudisha.
|
||||
reply: |-
|
||||
Asante kwa kutatua tatizo :wink:
|
||||
|
||||
Jua una masaa 24 kurudisha chapisho.
|
||||
category_hashtag:
|
||||
instructions: |-
|
||||
Unajua unaweza kuongelea kategoria na lebo kwenye chapisho lako? Mfano, umeona kategoria %{category} hii?
|
||||
|
||||
Andika `#` katikati ya sentensi na chagua kategoria au lebo yoyote.
|
||||
not_found: |-
|
||||
Hmm, Sioni kategoria yoyote. Jua kuwa `#` haiwezi kuwa herufi ya kwanza. Unaweza kunakili kwenye jibu lako linalokuja?
|
||||
|
||||
```neno
|
||||
Ninaweza kutengeneza kiungo cha kategoria kupitia #
|
||||
```
|
||||
reply: |-
|
||||
Vizuri sana! Kumbuka hii inafanya kazi kwenye kategoria _na_lebo kama lebo zikiruhusiwa.
|
||||
change_topic_notification_level:
|
||||
instructions: |-
|
||||
Kila mada ina kiwango cha ujulishaji. Inaanza na 'kawaida', inamaanisha utajulishwa tu mtu akikuongelea.
|
||||
|
||||
Kama chaguo-msingi, kiwango cha ujulishaji kwa ajili ya ujumbe binafsi ipo kwenye kiwango cha juu cha 'kuangalia', ina maanisha kuwa utajulishwa kuhusu kila jibu jipya. Lakini unaweza kubadilisha kiwango hiki kwa ajili ya mada 'zinazoangaliwa', 'inayofuatiliwa' au 'kunyamazishwa'.
|
||||
|
||||
Tujaribu kubadilisha kiwango cha ujulishaji kwa ajili ya mada hii. Chini ya mada, utaona kitufe kinachosema una **angalia** mada hii. Unaweza kubadilisha kiwango cha ujulishaji kuwa **inafuatiliwa**?
|
||||
not_found: |-
|
||||
Inaonekana kuwa bado unaangalia :eyes: mada hii! Kama umeshindwa kuiona, kitufe cha kiwango cha kujulisha kinapatikana chini ya mada.
|
||||
reply: |-
|
||||
Kazi nzuri! Natumaini haujanyamazisha mada hii! kwa vile napenda kuongea sana saa zingine :grin:.
|
||||
|
||||
Ukijibu mada, au ukisoma zaidi ya dakika chache, itawekwa kwenye orodha ya mada 'zinazofuatiliwa'. Unaweza kubadilisha hii kwenye [mipangilio yako ya mtumiaji](/my/preferences).
|
||||
poll:
|
||||
instructions: |-
|
||||
Unajua unaweza kuongeza uchaguzi kwenye chapisho lolote? Jaribu kutumia gia <img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-gear.png" width="16" height="16"> kwenye uhariri ku **tengeneza uchaguzi**
|
||||
not_found: |-
|
||||
Whoops! Hakuna uchaguzi kwenye jibu lako.
|
||||
|
||||
Tumia gia <img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-gear.png" width="16" height="16">kwenye sehemu ya kuhariri, au nakili na kubandika uchaguzi huu kwenye jibu lako lijalo:
|
||||
```neno
|
||||
[uchaguzi]
|
||||
* :cat:
|
||||
* :dog:
|
||||
[/uchaguzi]
|
||||
```
|
||||
reply: |-
|
||||
Habari, uchaguzi mzuri! Nimefanya vipi kwenye kukufundisha?
|
||||
|
||||
[poll]
|
||||
* :+1:
|
||||
* :-1:
|
||||
[/poll]
|
||||
details:
|
||||
instructions: |-
|
||||
Kuna mda ungependa **kuficha taarifa** kwenye majibu yako:
|
||||
|
||||
- Ukiwa unaongelea kuhusu sehemu nzuri za filamu au kipindi cha Runinga ambazo zinaweza kuwaharibia watu na kutowafanya watake kuangalia.
|
||||
|
||||
- Chapisho lako likiwa linahitaji taarifa nyingi kuweza kuelewa.
|
||||
|
||||
[taarifa=Chagua moja kati ya hizi kuona jinsi inavyofanya kazi!]
|
||||
1. Chagua gia <img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-gear.png" width="16" height="16"> kwenye uhariri.
|
||||
2. Chagua "Ficha Taarifa".
|
||||
3. Hariri taarifa za muhtasari na andika machapisho yako.
|
||||
[/taarifa]
|
||||
|
||||
Unaweza kutumia gia <img src="%{base_uri}/plugins/discourse-narrative-bot/images/font-awesome-gear.png" width="16" height="16">kwenye uhariri kuongeza sehemu ya taarifa kwenye jibu lako lijalo?
|
||||
not_found: |-
|
||||
Umeshindwa kutengeneza widget ya maelezo? Jaribu kuongeza yafuatayo kwenye jibu lako lifuatao:
|
||||
|
||||
```neno
|
||||
[maelezo=Nichague kupata maelezo]
|
||||
Maelezo yako yako hapa
|
||||
[/maelezo]
|
||||
```
|
||||
reply: |-
|
||||
Kazi nzuri - uwezo_wako_wa_kuona_vitu_kwa_undani ni mzuri sana!
|
||||
end:
|
||||
message: |-
|
||||
Umepita kama _mtumiaji_wa_hali_ya_juu :bow:
|
||||
|
||||
%{certificate}
|
||||
|
||||
Nilikuwa na hivyo tu.
|
||||
|
||||
Kwa heri kwa sasa! Kama ukitaka kuongea na mimi tena, nitumie ujumbe mda wowote :sunglasses:
|
||||
certificate:
|
||||
alt: 'Shahada ya Mafanikio ya Mtumiaji wa Juu'
|
|
@ -0,0 +1,10 @@
|
|||
# encoding: utf-8
|
||||
#
|
||||
# Never edit this file. It will be overwritten when translations are pulled from Transifex.
|
||||
#
|
||||
# To work with us on translations, join this project:
|
||||
# https://www.transifex.com/projects/p/discourse-org/
|
||||
|
||||
sw:
|
||||
site_settings:
|
||||
daily_performance_report: "Pitia batli za NGINX kila siku na chapisha mada za wasaidizi tu pamoja na maelezo"
|
12
plugins/discourse-presence/config/locales/client.sw.yml
Normal file
12
plugins/discourse-presence/config/locales/client.sw.yml
Normal file
|
@ -0,0 +1,12 @@
|
|||
# encoding: utf-8
|
||||
#
|
||||
# Never edit this file. It will be overwritten when translations are pulled from Transifex.
|
||||
#
|
||||
# To work with us on translations, join this project:
|
||||
# https://www.transifex.com/projects/p/discourse-org/
|
||||
|
||||
sw:
|
||||
js:
|
||||
presence:
|
||||
replying: "anajibu"
|
||||
editing: "inarekebishwa/hariri"
|
11
plugins/discourse-presence/config/locales/server.sw.yml
Normal file
11
plugins/discourse-presence/config/locales/server.sw.yml
Normal file
|
@ -0,0 +1,11 @@
|
|||
# encoding: utf-8
|
||||
#
|
||||
# Never edit this file. It will be overwritten when translations are pulled from Transifex.
|
||||
#
|
||||
# To work with us on translations, join this project:
|
||||
# https://www.transifex.com/projects/p/discourse-org/
|
||||
|
||||
sw:
|
||||
site_settings:
|
||||
presence_enabled: 'Onyesha watumiaji ambao wanaongelea mada ya sasa, au wana hariri mada?'
|
||||
presence_max_users_shown: 'Kiwango cha juu cha watumiaji kilicho onyeshwa.'
|
71
plugins/poll/config/locales/client.sw.yml
Normal file
71
plugins/poll/config/locales/client.sw.yml
Normal file
|
@ -0,0 +1,71 @@
|
|||
# encoding: utf-8
|
||||
#
|
||||
# Never edit this file. It will be overwritten when translations are pulled from Transifex.
|
||||
#
|
||||
# To work with us on translations, join this project:
|
||||
# https://www.transifex.com/projects/p/discourse-org/
|
||||
|
||||
sw:
|
||||
js:
|
||||
poll:
|
||||
voters:
|
||||
one: "wapiga kura"
|
||||
other: "wapiga kura"
|
||||
total_votes:
|
||||
one: "jumla ya kura"
|
||||
other: "jumla ya kura"
|
||||
average_rating: "Wastani wa tathmini:<strong>%{average}</strong>"
|
||||
public:
|
||||
title: "Kura sio za umma."
|
||||
multiple:
|
||||
help:
|
||||
at_least_min_options:
|
||||
one: "Chagua angalau chaguo <strong>1</strong>"
|
||||
other: "Chagua angalau machaguo <strong>%{count}</strong>."
|
||||
up_to_max_options:
|
||||
one: "Chagua mpaka chaguo <strong>1</strong>"
|
||||
other: "Chagua mpaka machaguo <strong>%{count}</strong>"
|
||||
x_options:
|
||||
one: "Chagua chaguo <strong>1</strong>"
|
||||
other: "Chagua machaguo <strong>%{count}</strong>"
|
||||
between_min_and_max_options: "Chagua kati ya <strong>%{min}</strong> mpaka <strong>%{max}</strong>"
|
||||
cast-votes:
|
||||
title: "Piga kura zako"
|
||||
label: "Piga kura sasa!"
|
||||
show-results:
|
||||
title: "Onyesha matokeo ya uchaguzi"
|
||||
label: "Onyesha matokeo"
|
||||
hide-results:
|
||||
title: "Rudi kwenye kura zako"
|
||||
label: "Ficha matokeo"
|
||||
open:
|
||||
title: "Fungua uchaguzi"
|
||||
label: "Fungua"
|
||||
confirm: "Unauhakika unataka kufungua uchaguzi huu?"
|
||||
close:
|
||||
title: "Funga uchaguzi"
|
||||
label: "Funga"
|
||||
confirm: "Unauhakika unataka kufunga uchaguzi huu?"
|
||||
error_while_toggling_status: "Samahani kulikuwa na hitilafu kwenye kubadilisha hali ya uchaguzi huu."
|
||||
error_while_casting_votes: "Samahani kulikuwa na hitilafu kwenye kupiga kura."
|
||||
error_while_fetching_voters: "Samahani kulikuwa na hitilafu kwenye kuonyesha wapiga kura."
|
||||
ui_builder:
|
||||
title: Jenga uchaguzi
|
||||
insert: Ingiza uchaguzi
|
||||
help:
|
||||
options_count: Weka angalau machaguo mawili
|
||||
invalid_values: Kiwango cha chini lazima kiwe kidogo kuliko kiwango cha juu.
|
||||
min_step_value: Kiasi cha Kipimo cha chini ni 1
|
||||
poll_type:
|
||||
label: Aina
|
||||
regular: Chaguo Moja
|
||||
multiple: Machaguo Mengi
|
||||
number: Thaminisha kwa kutumia namba
|
||||
poll_config:
|
||||
max: Kiwango cha juu
|
||||
min: Kiwango cha chini
|
||||
step: Hatua
|
||||
poll_public:
|
||||
label: Onyesha waliopiga kura
|
||||
poll_options:
|
||||
label: Weka chaguo moja kwa kila mstari
|
44
plugins/poll/config/locales/server.sw.yml
Normal file
44
plugins/poll/config/locales/server.sw.yml
Normal file
|
@ -0,0 +1,44 @@
|
|||
# encoding: utf-8
|
||||
#
|
||||
# Never edit this file. It will be overwritten when translations are pulled from Transifex.
|
||||
#
|
||||
# To work with us on translations, join this project:
|
||||
# https://www.transifex.com/projects/p/discourse-org/
|
||||
|
||||
sw:
|
||||
site_settings:
|
||||
poll_enabled: "Ruhusu Uchaguzi?"
|
||||
poll_maximum_options: "Idadi ya juu ya machaguo yanayoruhusiwa katika uchaguzi."
|
||||
poll_edit_window_mins: "Idadi ya dakika baada ya maandiko kuwekwa ambapo uchaguzi unaweza kuhaririwa."
|
||||
poll_minimum_trust_level_to_create: "Chagua kiwango cha chini ya uaminifu mtumiaji anahitaji kutengeneza uchaguzi."
|
||||
poll:
|
||||
multiple_polls_without_name: "Kuna chaguzi kadhaa zenye majina sawa. Tumia dhana ya '<code>jina</code>' ili kutambua chaguzi zako."
|
||||
multiple_polls_with_same_name: "Kuna chaguzi kadhaa zenye majina sawa: <strong>%{name}</strong>. Tumia dhana ya '<code>jina</code>' ilikutofautisha chaguzi zako."
|
||||
default_poll_must_have_at_least_2_options: "Chaguzi lazima ziwe angalau na machaguo 2."
|
||||
named_poll_must_have_at_least_2_options: "Chaguzi yenye jina <strong>%{name}</strong> lazima iwe na angalau machaguo 2."
|
||||
default_poll_must_have_less_options:
|
||||
one: "Chaguzi lazima uwe na chaguo chini ya 1."
|
||||
other: "Uchaguzi lazima uwe na chaguo chini ya %{count}."
|
||||
named_poll_must_have_less_options:
|
||||
one: "Uchaguzi wenye jina <strong>%{name}</strong> lazima uwe na chaguo chini ya 1."
|
||||
other: "Uchaguzi wenye jina <strong>%{name}</strong> lazima uwe na machaguo chini ya %{count}."
|
||||
default_poll_must_have_different_options: "Uchaguzi lazima uwe na machaguo tofauti."
|
||||
named_poll_must_have_different_options: "Uchaguzi wenye jina <strong>%{name}</strong> lazima uwe na machaguo tofauti."
|
||||
default_poll_with_multiple_choices_has_invalid_parameters: "Uchaguzi wenye machaguo mengi una vigezo ambavyo si sahihi."
|
||||
named_poll_with_multiple_choices_has_invalid_parameters: "Uchaguzi wenye jina <strong>%{name}</strong>, ambao una machaguo mengi, una vigezo ambavyo si sahihi."
|
||||
requires_at_least_1_valid_option: "Lazima uchague angalau chaguo 1 sahihi."
|
||||
default_cannot_be_made_public: "Uchaguzi wenye kura hauwezi kugeuzwa ili usiwe wa siri."
|
||||
edit_window_expired:
|
||||
op_cannot_edit_options: "Huwezi ukaongeza au kupunguza machaguo ya uchaguzi baada ya dakika %{minutes} za kwanza. Tafadhali wasiliana na msimamizi wa jukwaa kama utahitaji kuhariri chaguo la uchaguzi."
|
||||
staff_cannot_add_or_remove_options: "Huwezi kuongeza au kupunguza machaguo ya uchaguzi baada ya dakika %{minutes}za mwanzo. Unapaswa kufunga mada hii na kuanzisha mada mpya badala yake."
|
||||
no_polls_associated_with_this_post: "Hakuna chaguzi zinazohusiana na bandiko hili."
|
||||
no_poll_with_this_name: "Hakuna uchaguzi wenye jina <strong>%{name}</strong> unaohusiana na bandiko hili."
|
||||
post_is_deleted: "Huwezi kufanyia kazi bandiko lililofutwa."
|
||||
user_cant_post_in_topic: "Huwezi kupiga kura kwa sababu hauwezi kuchangia kwenye hii mada."
|
||||
topic_must_be_open_to_vote: "Mada inatakiwa iwe wazi, ili kupiga kura."
|
||||
poll_must_be_open_to_vote: "Uchaguzi lazima uwe wazi ili kupiga kura."
|
||||
topic_must_be_open_to_toggle_status: "Mada inatakiwa iwe wazi ili kubadilisha hali."
|
||||
only_staff_or_op_can_toggle_status: "Ni msaidizi au mwandishi wa bandiko tu, ndo wanaoweza kubadilisha hali ya uchaguzi."
|
||||
insufficient_rights_to_create: "Hauruhusiwi kutengeneza uchaguzi."
|
||||
email:
|
||||
link_to_poll: "Bofya ili kuangalia uchaguzi."
|
27
public/403.sw.html
Normal file
27
public/403.sw.html
Normal file
|
@ -0,0 +1,27 @@
|
|||
<!DOCTYPE html>
|
||||
<html>
|
||||
<head>
|
||||
<title>Huwezi kufanya hivyo (403)</title>
|
||||
<meta http-equiv="Content-Type" content="text/html; charset=utf-8">
|
||||
<style type="text/css">
|
||||
body { background-color: #fff; color: #666; text-align: center; font-family: arial, sans-serif; }
|
||||
div.dialog {
|
||||
width: 25em;
|
||||
padding: 0 4em;
|
||||
margin: 4em auto 0 auto;
|
||||
border: 1px solid #ccc;
|
||||
border-right-color: #999;
|
||||
border-bottom-color: #999;
|
||||
}
|
||||
h1 { font-size: 400%; color: #f00; line-height: 1em; }
|
||||
</style>
|
||||
</head>
|
||||
<body>
|
||||
<div class="dialog">
|
||||
<h1>403</h1>
|
||||
<p>Huwezi kuangalia rasilimali hiyo!</p>
|
||||
|
||||
<p>Nafasi itachukuliwa na Karatasi Binafsi ya Discourse 403. </p>
|
||||
</div>
|
||||
</body>
|
||||
</html>
|
26
public/422.sw.html
Normal file
26
public/422.sw.html
Normal file
|
@ -0,0 +1,26 @@
|
|||
<!DOCTYPE html>
|
||||
<html>
|
||||
<head>
|
||||
<title>Badiliko ulilotaka limekataliwa (422)</title>
|
||||
<meta http-equiv="Content-Type" content="text/html; charset=utf-8">
|
||||
<style type="text/css">
|
||||
body { background-color: #fff; color: #666; text-align: center; font-family: arial, sans-serif; }
|
||||
div.dialog {
|
||||
width: 25em;
|
||||
padding: 0 4em;
|
||||
margin: 4em auto 0 auto;
|
||||
border: 1px solid #ccc;
|
||||
border-right-color: #999;
|
||||
border-bottom-color: #999;
|
||||
}
|
||||
h1 { font-size: 100%; color: #f00; line-height: 1.5em; }
|
||||
</style>
|
||||
</head>
|
||||
<body>
|
||||
<!-- This file lives in public/422.html -->
|
||||
<div class="dialog">
|
||||
<h1>Badiliko ulilotaka limekataliwa.</h1>
|
||||
<p>Labda umejaribu kubadilisha kitu ambacho huna ruhusa ya kukifikia.</p>
|
||||
</div>
|
||||
</body>
|
||||
</html>
|
13
public/500.sw.html
Normal file
13
public/500.sw.html
Normal file
|
@ -0,0 +1,13 @@
|
|||
<!DOCTYPE html>
|
||||
<html>
|
||||
<head>
|
||||
<title>Samahani - Hililafu 500</title>
|
||||
<meta http-equiv="Content-Type" content="text/html; charset=utf-8">
|
||||
</head>
|
||||
<body>
|
||||
<h1>Pole/Samahani</h1>
|
||||
<p>Programu inayoendesha jukwaa hili la majadiliano, imekumbana na tatizo la ghafla. Tunaomba radhi kwa usumbufu.</p>
|
||||
<p>Maelezo ya kina kuhusu hitilafu yamehifadhiwa na taarifa ya moja kwa moja imetengenezwa. Tutaliangalia hili swala.</p>
|
||||
<p>Hakuna ulazima wa kuchukua hatua za ziada. Hata hivyo, kama hali ya hitilafu ikiendelea kujitokeza, unaweza ukatoa maelezo zaidi kwa kuanzisha mada kwenye jukwaa la maoni la mtandao huu, ukijumuisha na hatua za kufanya hiyo hitilafu itokee</p>
|
||||
</body>
|
||||
</html>
|
12
public/503.sw.html
Normal file
12
public/503.sw.html
Normal file
|
@ -0,0 +1,12 @@
|
|||
<!DOCTYPE html>
|
||||
<html>
|
||||
<head>
|
||||
<title>Mtandao unafanyiwa marekebisho - Discourse.org</title>
|
||||
<meta http-equiv="Content-Type" content="text/html; charset=utf-8">
|
||||
</head>
|
||||
<body>
|
||||
<h1>Hatupatikani kutokana na marekebisho ya mtandao huu yaliyopangwa.</h1>
|
||||
<p>Jaribu kuangalia tena <span id="when-to-check-back"> baada ya dakika chache</span>.</p>
|
||||
<p id="apology">Samahani kwa usumbufu!</p>
|
||||
</body>
|
||||
</html>
|
Loading…
Reference in New Issue
Block a user